Genesis 32:14-16

14 aMbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200. 15 bNgamia wake thelathini pamoja na ndama zao, ngʼombe wake arobaini na mafahali kumi, punda wake ishirini na punda waume kumi. 16 cAkaviweka chini ya uangalizi wa watumishi wake, kila kundi peke yake na kuwaambia, “Nitangulieni na kuacha nafasi kati ya makundi.”

Copyright information for SwhNEN